Kimunggui ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamunggui kwenye kisiwa cha Serui. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kimunggui imehesabiwa kuwa watu 800 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimunggui iko katika kundi la Kiyapen.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimunggui kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.