Kimurrinh-Patta
lugha ya asili ya Australia
Kimurrinh-Patta ni lugha ya Kidaly nchini Australia inayozungumzwa na Wamurrinh-Patta katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kimurrinh-Patta 1,800, na lugha imekuwa lugha ya mawasiliano katika eneo la Wadeye jimboni mwa Northern Territory. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimurrinh-Patta kiko katika kundi lake lenyewe la Kimurrinhpatta.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimurrinh-Patta kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimurrinh-Patta Ilihifadhiwa 15 Mei 2018 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimurrinh-Patta katika Glottolog
- lugha ya Kimurrinh-Patta katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimurrinh-Patta kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |