Kimusasa
Kimusasa ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Nepal inayozungumzwa na Wamusasa. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kimusasa imehesabiwa kuwa watu 50,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimusasa iko katika kundi la Kiaryan.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimusasa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimusasa Archived 15 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimusasa katika Glottolog
- lugha ya Kimusasa kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimusasa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |