Kimusi (pia Kipalembang) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamusi kwenye kisiwa cha Sumatra. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimusi imehesabiwa kuwa watu 3,105,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimusi iko katika kundi la Kimalayiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimusi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.