Kimwera
Kimwera ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wamwera. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimwera imehesabiwa kuwa watu 469,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimwera iko katika kundi la P20.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimwera kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimwera Ilihifadhiwa 15 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimwera katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mwe
- http://www.african.gu.se/tanzania/weblinks.html Ilihifadhiwa 4 Oktoba 2006 kwenye Wayback Machine.
- http://www.linguistics.berkeley.edu/CBOLD/Docs/TLS.html (tovuti hiyo ina msamiati wa Kimwera)
Marejeo
hariri- Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
- Harries, Lyndon. 1950. A grammar of Mwera, a Bantu language of the eastern zone, spoken in the south-eastern area of Tanganyika Territory. (Bantu grammatical archives, no 1.) Johannesburg: Witwatersrand University Press. Kurasa x, 128.
- Odden, David. 1999. A sketch of Mwera tonology. Malilime: Malawian journal of linguistics, 1, uk.76-99.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimwera kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |