Kimwera-Nyasa ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wamwera lakini ni lugha tofauti na Kimwera yenyewe. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kimwera-Nyasa imehesabiwa kuwa watu 6000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimwera-Nyasa iko katika kundi la N20.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimwera-Nyasa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.