Kinaga cha Khiamniungan
(Elekezwa kutoka Kinaga ya Khiamniungan)
Kinaga ya Khiamniungan ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi na Myanmar inayozungumzwa na Wanaga. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kinaga ya Khiamniungan imehesabiwa kuwa watu 37,800. Pia kuna wasemaji 10,000 nchini Myanmar (2010). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinaga ya Khiamniungan iko katika kundi la Kisal.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kinaga ya Khiamniungan kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kinaga ya Khiamniungan Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kinaga ya Khiamniungan katika Glottolog
- lugha ya Kinaga ya Khiamniungan kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinaga cha Khiamniungan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |