Kinaga cha Tangkhul

(Elekezwa kutoka Kinaga ya Tangkhul)

Kinaga ya Tangkhul ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Wanaga. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kinaga ya Tangkhul imehesabiwa kuwa watu 142,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinaga ya Tangkhul iko katika kundi la Kisal.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinaga cha Tangkhul kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.