Kinagarchal ilikuwa lugha ya Kidravidi nchini Uhindi iliyozungumzwa na Wanagarchal. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kinagarchal tena kwa vile Wanagarchal wote wameacha lugha yao na kutumia Kihindi badala yake, yaani Kinagarchal imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinagarchal iko katika kundi la Kigondi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinagarchal kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.