Kinalögo ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Wanalögo kwenye kisiwa cha Santa Cruz. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kinalögo imehesabiwa kuwa watu 1620. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinalögo iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinalögo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.