Kinarau ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wanarau. Idadi ya wasemaji wa Kinarau haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinarau iko katika kundi la Kikaure. Wengine huiangalia kuwa lugha sawasawa na Kikosare.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinarau kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.