Kinarom
Kinarom ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Wanarom. Mwaka wa 2012 idadi ya wasemaji wa Kinarom imehesabiwa kuwa watu 4000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinarom iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kinarom kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kinarom Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kinarom katika Glottolog
- lugha ya Kinarom kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinarom kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |