Kindaka (lugha)
ni lugha ya Kibantu inayozungumzwa na Wakani, katika mkoa wa Ituri, katika eneo la Mambasa nchini Kongo
Kindaka ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wandaka. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kindaka imehesabiwa kuwa watu 25,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kindaka iko katika kundi la D30.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kindaka kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kindaka Archived 5 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kindaka katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/ndk
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kindaka (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |