Kindendeule

Kindendeule ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wandendeule. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kindendeule imehesabiwa kuwa watu 100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kindendeule iko katika kundi la N10.

Viungo vya njeEdit

MarejeoEdit

  • Maho, Jouni na Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. uk. ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Ngonyani, Deogratias. 1998. Properties of applied objects in Kiswahili and Kindendeule. Studies in African linguistics, 27 (1), pp 67–96.
  • Ngonyani, Deogratias. 1999. The constituent structure of Kindendeule applicatives. Katika: Advances in African linguistics: papers presented at the 28th annual conference on African linguistics, held 18-22 Julai 1997, Cornell University (Trends in African linguistics, vol 4). Kuhaririwa na Vicky Carstens na Frederick Parkinson. Trenton (New Jersey) na Asmara: Africa World Press.
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kindendeule kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.