Kindoola
Kindoola ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wandoola. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kindoola nchini Nigeria imehesabiwa kuwa watu 60,400. Pia kuna wasemaji 2120 nchini Kamerun. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kindoola iko katika kundi la Kimambiloidi ambalo linafanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kindoola kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kindoola Ilihifadhiwa 8 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kindoola katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/ndr
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kindoola kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |