Kindubile ni lugha ya misimu inayozungumzwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Imegundulika tangu miaka ya sitini ambapo mwanamziki Sam Mwangwama alipo aitumia kwenye mistari ya nyimbo zake kabla ya miaka ya sabini. Asili ya kindubile ni katika lugha ya Kilingala lakina katika mageuzi yake yakapelekea kuzaa lugha hii. Pia ni lugha ya vijana wa huko Katanga ambao wanatumia Kiswahili kama lugha ya kimazingira.

Marejeo

hariri