Kinemi ni lugha ya Kiaustronesia nchini Kaledonia Mpya inayozungumzwa na Wanemi. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kinemi imehesabiwa kuwa watu 910. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinemi iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinemi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.