Kingamambo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wangamambo. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kingamambo imehesabiwa kuwa watu 8000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingamambo iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kingamambo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.