Kingarinyin ni lugha ya Kiworrorran nchini Australia inayozungumzwa na Wangarinyin katika jimbo la Australia ya Magharibi. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kingarinyin 57 tu, na lugha imo hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingarinyin kiko katika kundi la Kiwunambal.

Eneo la lugha za Kiworrorran barani mwa Australia, rangi ya kizambarau

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kingarinyin kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.