Kingarluma
lugha ya asili ya Australia
Kingarluma ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wangarluma katika jimbo la Australia Magharibi. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kingarluma 26 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingarluma kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kingarluma kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kingarluma Archived 30 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kingarluma katika Glottolog
- lugha ya Kingarluma katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kingarluma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |