Kingbaka-Manza ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wangbaka-Manza. Wataalamu wengine huiangalia kuwa lahaja ya Kiali. Kwa vyovyote isichangaywe na Kingbaka wala na Kimanza; lugha hizo hufanana lakini ni lugha tofauti. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kingbaka-Manza imehesabiwa kuwa watu 29,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingbaka-Manza iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kingbaka-Manza kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.