Kingiemboon
Kingiemboon ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wangiemboon. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kingiemboon imehesabiwa kuwa watu 250,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingiemboon iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kingiemboon kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kingiemboon Archived 5 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kingiemboon katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/nnh
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kingiemboon kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |