Kings Music Records

Kings Music[1] ni lebo iliyoanzishwa na mwimbaji AliKiba mwanzoni mwa Desemba 2017. Studio hiyo yenye makao yake nchini Tanzania, kabla ya kufunguliwa studio hiyo ya Kings Music ilifanyiwa tangazo maalum na mwanzilishi na wasanii watakaokuwa kwenye lebo hiyo.

Kings Music
Imeanzishwa 2017
Mwanzilishi AliKiba
Usambazaji wa studio "KingKiba"
Aina za muziki Bongo Flava
Nchi Tanzania
Mahala Dar es salaam,Tanzania

Orodha ya wasanii hariri

 
MTV EMA Awards

.

Wasanii ambao wamejisajili katika Kings Music Records ni pamoja na:

Wasanii waliosainiwa na Kings Music
SN Jina la Msanii Mwaka wa Usajili Nyimbo
1. AbduKiba na AliKiba 2017 Single
2 AbduKiba 2018 Jereha
3 2018 Mwambie Sina

Tuzo hariri

Tanzania Music Awards hariri

Mwaka Kazi iliyoteuliwa Tuzo Matokeo
2012 Dushelele Best Zouk /Rhumba Song Ameshinda
Nai Nai with Ommy Dimpoz Best Collaboration Ameshinda
2014 Kidela with Abdu Kiba Best Collaboration Kigezo:Nominated
2015 Himself Best Male Artist Ameshinda
Best Male Performer Ameshinda
Song Writer of the year Ameshinda
Mwana Song of the Year Ameshinda
Video of the year Kigezo:Nominated
Afro Pop Song of the year Ameshinda
Kiboko Yangu With Mwana FA Best Collaboration Ameshinda

Watsup Music Awards hariri

Mwaka Kazi iliyoteuliwa Tuzo Matokeo
2016 Aje Best African Rnb Video Ameshinda[2]
Best East African Video Ameshinda[3]

BEFFTA Awards 2016 hariri

Mwaka Kazi iliyoteuliwa Tuzo Matokeo
2016 Aje Best African Act Ameshinda[2]
Video of the Year Ameshinda[3]

MTV Europe Music Awards hariri

Mwaka Kazi iliyoteuliwa Tuzo Matokeo
2016 Himself Best International Act: Africa Ameshinda[4]

Nafca hariri

Mwaka Kazi iliyoteuliwa Tuzo Matokeo
2016 Himself Favorite Artist Ameshinda
Mwana Favorite Song Ameshinda[5]

East Africa TV Awards hariri

Mwaka Kazi iliyoteuliwa Tuzo Matokeo
2016 Aje Best Male Artist Ameshinda
Song of the Year Ameshinda
Video of the Year Ameshinda

ASFA Awards (Uganda) hariri

Mwaka Kazi iliyoteuliwa Tuzo Matokeo
2016 Aje Most Stylish Artiste East Africa Ameshinda
Aje Most Fashionable Music Video Africa Ameshinda[5]

Soundcity Awards hariri

Mwaka Kazi iliyoteuliwa Tuzo Matokeo
2016 Aje Video of the Year Ameshinda

TZ INSTA Awards 2016 hariri

Mwaka Kazi iliyoteuliwa Tuzo Matokeo
2016 Aje Top Trending Song Ameshinda

Best Celebrity Player Awards (Uganda) hariri

Mwaka Kazi iliyoteuliwa Tuzo Matokeo
2016 Himself Best Celebrity Player Ameshinda

WANNAMusic Awards 2016 (France) hariri

Mwaka Kazi iliyoteuliwa Tuzo Matokeo
2016 Aje Best Male Artist Kigezo:Nominated
Best Collabo Kigezo:Nominated
People Choice Ameshinda

Tanbihi hariri

  1. Kings Music - Ali Kiba kuanzisha lebo yake. Ishi Kista.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2022-12-05. Iliwekwa mnamo 2017.
  2. 2.0 2.1 Mawuli, David. WAMVA 2016: Diamond Platnumz, Shatta Wale, Beyonce win big; see full list of winners - Music - Pulse.
  3. 3.0 3.1 Checkout nominees for Watsup Tv Africa Music Video Awards.
  4. Ali Kiba atajwa kuwania Tuzo za MTV EMMA 2016. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-10-10. Iliwekwa mnamo 2018-10-06.
  5. 5.0 5.1 Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-10-09. Iliwekwa mnamo 2018-10-06.

Viungo vya hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kings Music Records kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.