Kingul (lugha)

Lugha ya Kibantu inayozungumzwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Kingul ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wangul. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kingul imehesabiwa kuwa watu 8400. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kingul iko katika kundi la B60.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kingul (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.