Kingundi

Kingundi ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kongo inayozungumzwa na Wangundi. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kingundi nchini Kongo imehesabiwa kuwa watu 3000. Pia Kingundi huzungumzwa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati lakini idadi ya wasemaji haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kingundi iko katika kundi la C20.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kingundi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.