Kinguôn ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Vietnam inayozungumzwa na Wanguôn. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kinguôn imehesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinguôn iko katika kundi la Kimuong.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinguon kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.