Kinhanda

lugha ya asili ya Australia

Kinhanda ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wanhanda katika jimbo la Australia Magharibi. Miaka ya 2000, kulikuwa na wasemaji wa Kinhanda wachache tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinhanda kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinhanda kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.