Kinhirrpi

lugha ya asili ya Australia iliyotoweka

Kinhirrpi kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wanhirrpi katika jimbo la Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kinhirrpi ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinhirrpi kiko katika kundi la Kikarniki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinhirrpi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.