Kinindi (pia huitwa Kimanundi) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wanindi. Idadi ya wasemaji wa Kinindi imehesabiwa kuwa watu 100 tu, tena wengi wao wameanza kubadilisha lugha yao, maana yake lugha iko hatarini mwa kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinindi iko katika kundi la N10.

Viungo vya nje hariri

Marejeo hariri

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinindi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.