Kinisa ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wanisa. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kinisa imehesabiwa kuwa watu 500. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinisa iko katika kundi la “East Geelvink Bay”.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinisa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.