Kinshi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wanshi. Idadi ya wasemaji wa Kinshi haijahesabiwa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinshi iko katika kundi la Kibantoidi linalofanana na lugha za Kibantu. Wengine husema kuwa lugha ya Kinshi ni sawa na Kiwushi nchini Kamerun.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinshi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.