Kinusa-Laut ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wanusa-Laut kwenye kisiwa cha Nusa Laut. Mwaka wa 1989 idadi ya Wanusa-Laut imehesabiwa kuwa watu 2230, lakini hakuwa na wasemaji wa Kinusa-Laut kama lugha yao ya kwanza, yaani ni kama lugha imelala usingizini. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinusa-Laut iko katika kundi la Kiseram.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinusa-Laut kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.