Kinyamal
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka
Kinyamal ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wanyamal katika jimbo la Australia Magharibi. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kinyamal 35 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinyamal kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kinyamal kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kinyamal
- lugha ya Kinyamal katika Glottolog
- lugha ya Kinyamal katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinyamal kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |