Kinyindu (lugha)
Kinyindu ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wanyindu. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kinyindu imehesabiwa kuwa watu 8400. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinyindu iko katika kundi la J50.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kinyindu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kinyindu
- lugha ya Kinyindu katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/nyg
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinyindu (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |