Kinyole (lugha)

(Elekezwa kutoka Kinyole)

Kinyole (pia Lunyole) ni lugha ya Kibantu nchini Uganda inayozungumzwa na Wanyole. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kinyole imehesabiwa kuwa watu 341,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinyole iko katika kundi la J30.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinyole (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.