Kiobokuitai ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Waobokuitai. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiobokuitai imehesabiwa kuwa watu 120. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiobokuitai iko katika kundi la “Lakes Plain”.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiobokuitai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.