Kioko-Juwoi ilikuwa lugha ya Kiandamani nchini Uhindi iliyozungumzwa na Wajuwoi visiwani mwa Andaman. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kioko-Juwoi tena yaani lugha imetoweka kabisa.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kioko-Juwoi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.