Kioku
Kioku ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Waoku. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kioku imehesabiwa kuwa watu 40,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kioku iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kioku kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kioku
- lugha ya Kioku katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/oku
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kioku kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |