Kioniyan
Kioniyan (pia Kibassari) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Senegal, Guinea, Guinea-Bisau na Gambia inayozungumzwa na Wabassari. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kioniyan imehesabiwa kuwa watu 13,300 nchini Senegal, na 510 nchini Guinea-Bisau. Pia kuna wasemaji 8600 nchini Guinea na wasemaji wachache nchini Gambia. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kioniyan iko katika kundi la Kiatlantiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kioniyan kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kioniyan
- lugha ya Kioniyan katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bsc
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kioniyan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |