Kiorok ni lugha ya Kitungusi nchini Urusi inayozungumzwa na Waorok. Isichanganywe na lugha ya Kioroch ambayo ni karibu sana lakini tofauti. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kiorok imehesabiwa kuwa watu 47 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiorok iko katika kundi la Kitungusi ya Kusini.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiorok kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.