Kiorowe ni lugha ya Kiaustronesia nchini Kaledonia Mpya inayozungumzwa na Waorowe. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kiorowe imehesabiwa kuwa watu 490. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiorowe iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiorowe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.