Kiowa ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Waowa kwenye visiwa vya Makira, Santa Anna na Santa Catalina. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kiowa imehesabiwa kuwa watu 8410. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiowa iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiowa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.