Kipa-Hng ni lugha ya Kihmong-Mien nchini Vietnam na Uchina inayozungumzwa na Wayao. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kipa-Hng nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu 26,800. Pia kuna wasemaji 6810 nchini Vietnam (2009). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipa-Hng iko katika kundi lake lenyewe la Kipa-Hng.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipa-Hng kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.