Kipadoe ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wapadoe kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kipadoe imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipadoe iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipadoe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.