Kipalau ni lugha ya Kiaustronesia nchini Palau inayozungumzwa na Wapalau. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kipalau imehesabiwa kuwa watu 18,950, ambao 14,800 huishi nchini Palau. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipalau iko katika kundi lake lenyewe la Kipalau.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipalau kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.