Kipalaung cha Pale
(Elekezwa kutoka Kipalaung-Pale)
Kipalaung ya Pale (pia Kiruching) ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Myanmar, China na Uthai inayozungumzwa na Wapalaung. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kipalaung ya Pale imehesabiwa kuwa watu 258,000 nchini Myanmar na 9000 nchini China. Pia kuna wasemaji 5000 nchini Uthai (1989). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipalaung ya Pale iko katika kundi la Kipalaungiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kipalaung ya Pale kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kipalaung ya Pale
- lugha ya Kipalaung ya Pale katika Glottolog
- lugha ya Kipalaung ya Pale kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kipalaung cha Pale kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |