Kipallanganmiddang
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka
Kipallanganmiddang (au Kibalangamida) kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wapallanganmiddang katika jimbo la Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kipallanganmiddang, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipallanganmiddang kiko katika kundi la Gippsland.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kipallanganmiddang kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kipallanganmiddang
- lugha ya Kipallanganmiddang katika Glottolog
- lugha ya Kipallanganmiddang katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kipallanganmiddang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |