Kipaluan ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Wapaluan. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kipaluan imehesabiwa kuwa watu 5500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipaluan iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipaluan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.