Kipalula
Kipalula (au Kiphalula) ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Wapalula. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kipalula imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipalula kiko katika kundi la Kidardiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kipalula kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kipalula
- lugha ya Kipalula katika Glottolog
- lugha ya Kipalula kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kipalula kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |