Kipalumata ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia iliyozungumzwa na Wapalumata kwenye kisiwa cha Buru. Hakuna watu waliobaki kuzungumza lugha ya Kipalumata, yaani imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipalumata iko katika kundi la Kimaluku.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipalumata kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.